Mheshimiwa Naibu Waziri Charles Kitwanga (katikati) kipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kuratibu Miradi wa kiwanda cha MM I Steel Bw. Lawrance Manyama (kushoto) wakati alipofanya ziara rasmi kuangalia changamoto za uharibu wa mazingira unaotokana na Viwanda na Mahoteli. Kulia ni Mhandisi Dr. Robert Ntakamulenga.
Meneja Mkuu wa kiwanda cha TANPACK TISSUES Ltd. Bw. Rajesh Shah akimuonyesha Mh. Naibu Waziri Charles Kitwanga sehemu maalum ya kuchujia maji taka yanayotoka katika kiwanda hicho.

 Naibu Waziri wa Nchi kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mh.Charles Kitwanga akikagua matenki hayo wakati wa ziara hiyo aliyoambatana na wanahabari pamoja na viongozi wa NEMC.
Maafisa wa Wizara, NEMC na baadhi ya wanahabari wakiangalia taratibu zinazopitiwa kupitisha na hatimaye kusafisha maji taka ya viwanda kabla ya kwenda kuyamwaga katika maeneo ya wazi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MAZINGIRA MAANA YAKE NINI HIVI UCHAFU ULIOJAA DAR KOTE SI MAZINGIRA DAR NI MJI MCHAFU NAMBA MOJA EAST AFRICA HATA AIBU HATUONI, SHAME ON US

    ReplyDelete
  2. Hapo ni kuzunguka tuu kisha kulipana allowance hakuna lolote wafanyalo dar uchafu mwingi mnoo

    ReplyDelete
  3. Asante mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...